Kilimo ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanaadamu, maana bila ya kula hataweza kuishi na hawezi kula kama hapajalimwa. Lakini ili kilimo kiwe endelevu na kuyafaidisha mwanaadamu, ni lazima pawe na uwiano kati ya shughuli za kilimo na za ulinzi wa mazingira.
↧