Wajumbe kadhaa wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar hivi leo wameijia juu serikali, baada ya kupokea taarifa kwamba mshukiwa wa ubakaji watoto wadogo, Hassan Aboud Talib (Kiringo), aliyekamatwa jana kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa kiume wa miaka 13, ameachiwa huru licha ya uzito wa tuhuma dhidi yake.
↧