Habari kubwa kuliko zote ni uwasilishwaji wa ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini unaosafirishwa nje ambayo imeibuwa kiwango kikubwa cha utoroshaji madini na pia kumuangusha waziri mwenye dhamana ya madini, Profesa Sospeter Muhongo, na wenzake kadhaa, huku kwenye safu za michezo likiendelea suala la Yussuf Manji kujiondoa kwenye uongozi wa klabu ya Yanga siku chache baada ya timu yake hiyo kutangazwa ubingwa.
Filed under: MAGAZETINI LEO
