Mengi yanachambua bajeti iliyowasilishwa juzi bungeni na waziri wa fedha wa Tanzania Bara na mengine yanagusia mauaji yanayoendelea sasa mkoani Pwani. Kwenye safu za michezo, pamoja na mengine, ni mechi ya leo kati ya Taifa Stars na Lesotho.
Filed under: MAGAZETINI LEO Tagged: bajeti, Kibiti, Magazeti ya Tanzania
