Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ambaye pia ni mbunge wa Vunjo na mwenyekiti wa taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amemtaka Jaji Francis Mutungi kutekeleza kweli jukumu lake la ulezi wa vyama vya siasa kwenye mgogoro wa CUF badala ya kuwa sehemu ya mgogoro huo.
Filed under: VIDIO Tagged: cuf, Mbatia, Mutungi, NCCR-Mageuzi, Ukawa
