Upepo mkali uliovuma mapema leo magharibi kwa kisiwa cha Unguja unahofiwa kusababisha madhara makubwa, baada ya nyumba kadhaa kuezuliwa mapaa. Mashahidi wanasema eneo la Nyarugusu, jimbo la Pangawe, ndilo lililoathiriwa zaidi na upepo huo. Hadi sasa hakuna taarifa za watu waliojeruhiwa au kupoteza maisha.
Click to view slideshow.Filed under: PICHA Tagged: kimbunga, Nyarugusu, unguja, Upepo, Zanzibar
