Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Browsing all 854 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

U.S. Democracy Promotion in Africa: Why Zanzibar Matters

The U.S. government’s relationship with Tanzania took a hit this past year when national elections in October 2015 revealed a decidedly undemocratic streak in a country that U.S. officials had...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenye mizinga na mwenye umma, nani hasa mwenye nguvu?

Wiki hii imekuwa wiki ya Micheweni. Imesadifu kwamba watu wawili dhaifu kuitwa na kuhojiwa na mamlaka za dola kwa muda na maeneo tofauti. Ambapo siku ya Jumatano ya tarehe 8 Juni 2016, Idara ya Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNDU LISSU: Mpambanaji aliyeuanza uwanaharakati utotoni

  JUNI 3, mwaka huu, Mwandishi Wetu, Godfrey Dilunga, alifanya mahojiano kuhusu masuala mbalimbali na Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) ambaye pia ni mwanaharakati wa haki za binadamu, Tundu Lissu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwaheri Jumbe, tunalo la kukumbuka

Mwaka 1975, wakati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akisusia kushiriki katika mkutano wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) uliokuwa unafanyika nchini Uganda kwa sababu ya tafauti zake na Rais Iddi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je, kifo cha Jumbe chaweza kututanabahisha Wazanzibari?

Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa rais wa Zanzibar, makamu rais wa Tanzania, makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na – kubwa kuliko yote – kiongozi aliyefunguwa milango ya demokrasia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

La mkono wa Maalim Seif na uhalisia wa hisia

Hisia ni kitu ambacho kila kiumbehai anacho kutegemea na hukionesha kulingana na mazingira husika. Tafsiri ya hisia hizo ni za aina mbili – chanya na hasi – kama vile ambavyo kinachozipelekea hisia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Doyo tumekusikia, tunakuhifadhia

Kuna mambo ambayo hatupaswi kuacha yapite hivi hivi pasi kuyajadili kutokana na uzito wa kile kilichojiri au mwenye kukiwasilisha kwa hadhira aliyoikusudia. Uzito wa hili la leo upo pande zote – wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lipumba na la kuvunda

Hufika muda tunalazimika kukubali matokeo. Inawezekana kuikubali hali hiyo kwa shingo upande au maumivu makali yasiyomithilika. Hata hivyo, maumivu na sononeko hilo haliondowi uhalisia wa mambo. Kwamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu tatu za CUF kupigwa vita na dola

Nimeichukuwa tena na kuisoma kwa makini zaidi taarifa ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) ya tarehe 15 Septemba 2016 iliyotolewa mbele ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Zanzibar yapigana vita vya utengano dhidi ya maridhiano

Historia ya Zanzibar itamkumbuka Amani Abeid Karume kama mmoja wa viongozi waliopigania maridhiano, umoja na demokrasia visiwani humo. Katika kitabu chake Conversation with Myself (Mazungumzo na Nafsi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Foro: Chaka la watoto wala makombo, vijana wajifanyao machizi

Ulikuwa ni mwanzo wa usiku wa siku ya Jumanne ya tarehe 30 Agosti 2016, majira ya saa mbili na nusu, nikiwa nimeketi katika kingo za Bustani ya Forodhani, nikiwaza hili na lile. Mbele yangu kunapita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fungu Mbaraka ni ya Zanzibar

Nimefarajika sana kuona kwamba Wazanzibari wengi wamepata muamko mkubwa kuhusiana na maslahi ya Zanzibar katika suala la Kisiwa cha Latham (Fungu Mbaraka). Hii ni faraja kwa vile Tanganyika wameonyesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwaka mmoja baada ya Uchaguzi Mkuu Tanzania, nini kimekuwa nini?

Sasa unatimia mwaka tangu Watanzania kumiminika vituoni kuchagua viongozi wao kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, na Maoni Mbele ya Meza ya Duara inauangazia mwaka huu mmoja na kile unachomaanisha kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabavu ya CCM yanapoteswa na diplomasia ya Maalim Seif

Uongozi ni hikma, maarifa na busara. Ni kuangalia mambo kwa mtazamo mpana wenye kubeba maslahi ya jamii unayoitumikia. Uongozi si maagizo na maamrisho yasiyo na tija. Si kujikweza na kujionyesha kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maisha na nyakati za Abdulla Kassim Hanga

ASALAAM alaykum wa RahmatuLlah wa Barakatuhu. Nina mawili matatu ninayotaka kusema kabla ya kuiingilia mada yetu. Kwanza, nawashukuruni kujumuika nasi kumkumbuka mwana wa Zanzibar, ambaye licha ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Disemba 10 na uhuru wa Zanzibar uliopuuzwa

Mwandishi Harith Ghassani anakiita kitabu chake Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru, yumkini akimaanisha kile kilichotokea tarehe 10 Disemba 1963 kilikuwa kiini macho cha aina yake ambapo Zanzibar ilijipatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

La Magufuli na mifano yake ya Libya

Mwaka 2007, nilibahatika kwenda Libya kwa mafunzo ya muda mfupi, wakati kiongozi wa wakati huo, Marehemu Muammar Gaddafi, akiwa kwenye propaganda kubwa ya kuitangaza nchi hiyo kama taifa la mfano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kipigo hakijawahi kuwabadili wapinzani kuwa wafuasi wa watawala

Tu, tu tu! Piga huyu, kamata yule! Kazi inaendelea.Kijiji kimejaa vilio vya watoto wachanga, kimetanda khofu na kimesambaa hewa ya sumu ambayo inapopulizwa kuchukuwa masiku kabla haijesha. Kwa siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamara Kusupa na mtambo wa kasumba juu ya Z’bar

Nimesoma katika Gazeti la An-nuur la tarehe 11- 17 Novemba, 2016, makala ya Mwinjilisti Kamara Kusupa isemayo “Kabla ya kudai ‘Fungu Baraka’, ulizeni nani aliitoa Zanzibar UN?” Makala hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maisha na nyakati za Abdulla Kassim Hanga

ASALAAM alaykum wa RahmatuLlah wa Barakatuhu. Nina mawili matatu ninayotaka kusema kabla ya kuiingilia mada yetu. Kwanza, nawashukuruni kujumuika nasi kumkumbuka mwana wa Zanzibar, ambaye licha ya...

View Article
Browsing all 854 articles
Browse latest View live