Quantcast
Browsing all 854 articles
Browse latest View live

Mazombi ya Zanzibar ni mfano wa ‘death squads’

Ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International ya mwaka 1975-76 inaseama “vikosi vya usalama vya Argentina vilianza kutumia kile kiitwacho makundi ya mauaji (death...

View Article


La Lipumba na kitisho dhidi ya CUF

Historia ya maisha yangu kisiasa si refu kulingana na umri wangu wa miaka 43. Pamoja nakuzaliwa kwenye mazingira ambayo siasa hupikwa, ikatiwa nazi na hatimaye kuliwa au kukorogewa sukari na […]

View Article


Muungano lilikuwa kosa la kihistoria

Sioni dhiki kuandika wala kutamka kwa kinywa kipana kabisa bila ya chembe ya ukakasi kooni kuwa- muungano huu (Tanganyika na Zanzibar), ni kosa la kihistoria  kwa Zanzibar ambalo Sheikh Abeid […]

View Article

Brexit inatufunza nini Wazanzibari?

Mambo yote yanayotengenezwa na binaadamu duniani yana uwezekano wa kuvunjwa. Imekuwa hivyo kwa sababu mwanaandamu ana mipaka katika kufikiri kwake na ana khiyari katika kuamua kwake. Kwa sababu mbili...

View Article

SMZ, mumeniziba mdomo, lakini hamuwezi kuichukuwa sauti yangu

Hatimaye lile jungu lililokuwa likipikwa kwa mawiki kadhaa dhidi yangu, limeiva na kupakuliwa. Alkhamisi ya tarehe 23 Juni 2016, Idara ya Habari Maelezo hapa kisiwani Pemba iliniita na kunipoka...

View Article


Huu ni ugaidi wa dola dhidi ya raia

Kamusi maarufu la lugha ya Kiingereza, Oxford, linalielezea tendo la kigaidi kama hivi ifuatavyo: the calculated use of violence (or the threat of violence) against civilians in order to attain […]

View Article

Wanachokifanya CCM/SMZ Pemba ni maigizo yaliyopotoka

Mimi siamini lakini nafarijika kwamba hata yale makundi ambayo hupanga na kuratibu uigizaji unaoendelea kwenye vijiji mbalimbali visiwani Unguja na Pemba, nayo pia hayakubali. Hayakubali kwa maana...

View Article

La Omar Ismail ni uthibitisho wa ukandamizaji wa dola

Ilikuwa tarehe 15 Juni 2016 ambapo katika kijiji cha Kiungoni na maeneo mengine mengi ya ukanda wa mashariki wa kaskazini mwa kisiwa cha Pemba yalifanyiwa  matukio kadhaa ya unyanyasaji na […]

View Article


Mgimwa, kwa nini hukuyasema hayo bungeni?

Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipanga ratiba ya kutolewa kwa elimu ya uraia kwa miezi 18 ndipo tuingie kwenye mfumo wa vyama vingi. Hii nadhani ingesaidia kuondoa maafa na dosari […]

View Article


Dk. Shein, je haya yatosha kuwa thamani ya urais wako?

Maswali yangu hasa kwa Dk. Ali Mohamed Shein nitayaweka mwisho wa makala hii, lakini nitatanguliza kwanza kile kilichonisukuma kuyauliza maswali yenyewe, nacho ni hali ngumu inayopitia nchi yangu,...

View Article

Tukatae udhalilishaji dhidi ya wazee wetu

Kimaumbile hatua za makuzi ya mwanadamu yamejengwa kwenye msingi w akutegemeana. Chimbuko lake huanzia mgongoni, tumboni na kisha duniani. Azaliwaye huitwa mwana, aliyembeba miezi tisa ndani ya tumbo...

View Article

Mkataa ya Musa humpata ya Firauni

Waswahili hutumia misemo na methali nyingi na kwa mengi katika maisha yao ya siku kwa siku. Miongoni mwa matumizi ya utanzu huu wa fasihi ni kutoa tahadhari juu ya jambo […]

View Article

Bila kuujali utalii, Z’bar itazidi kudidimia

Kwa kuwa utalii ni sekta ambayo inachangia sehemu kubwa ya pato la taifa wadau wengi wa utalii wamekuwa wakikerwa na kusikitishwa na mambo mabaya wanayofanyiwa wataalii wanaotembelea visiwa vyetu vya […]

View Article


Vifaranga vya Zanzibar vyarudi nyumbani kupumzika

Septemba 16, 2001, siku tano tu baada ya shambulio la Septemba 11, 2001 kule Marekani, Mchungaji Jeremiah Wright, aliyewahi kuwa mchungaji wa raisi wa sasa wa Marekani, Barack Obama, alitoa […]

View Article

Ni hujuma au sanaa ya kujipiga mwenyewe ukalia?

Vuta picha kwamba uko usingizini ndani ya nyumba ambayo imeezekwa kwa makuti na tayari yana miaka kadhaa juu ya paa na, hivyo, yameshakauka na yameshaanza kupoteza uimara wake wa kuweza […]

View Article


Democracy deferred in Zanzibar

Thank you for the welcome and kind words. It is a pleasure to be back among old friends. The links between Zanzibar and the United States go back a long […]

View Article

Bunge lahitaji muafaka wa kitaifa

Licha ya Naibu Spika, Dkt. Tulia Akson, spika kuwatishia wabunge wa upinzani, ambao wamekuwa na kawaida ya kujisajili na baadaye kutoka kila siku ambayo bunge linaongozwa na yeye, inaonesha dhahiri […]

View Article


Je, mlango wa Ouattarra utakuwa wa Maalim Seif?

Ni miezi imepita tangu kufanyika kwa kile kiitwacho “Uchaguzi Mkuu wa Marudio” wa Machi 20 baada ya ule wa awali wa Oktoba 25 “kufutwa” na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi […]

View Article

Mazombi ya Zanzibar ni mfano wa ‘death squads’

Ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International ya mwaka 1975-76 inaseama “vikosi vya usalama vya Argentina vilianza kutumia kile kiitwacho makundi ya mauaji (death...

View Article

La Lipumba na kitisho dhidi ya CUF

Historia ya maisha yangu kisiasa si refu kulingana na umri wangu wa miaka 43. Pamoja nakuzaliwa kwenye mazingira ambayo siasa hupikwa, ikatiwa nazi na hatimaye kuliwa au kukorogewa sukari na […]

View Article
Browsing all 854 articles
Browse latest View live