European Union delegation brands poll ‘observer,’ RIO, fake organisation
The delegation of the European Union(EU) in Tanzania has said that a self-proclaimed organisation purporting to be an observer to the election re-run in Zanzibar slated for next month is […]
View ArticleCUF yasema sasa imechoka na udhalilishaji
Katika hali isiyo ya kawaida na baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu dhidi ya kile kinachokiita “njama za makusudi dhidi yake”, sasa Chama cha Wananchi (CUF) kinasema hakitaweza tena […]
View ArticleMifupa inapoinuka kaburini
Familia ya msichana wa miaka 23, ambaye ndiyo kwanza alikuwa anamaliza masomo yake ya Chuo Kikuu nchini Afrika Kusini akiwa tayari mwanaharakati wa chama cha ukombozi cha ANC, Nokuthula Simelane, […]
View ArticlePolice, CCM source of divide in Zanzibar
Controversy surrounding Zanzibar election turmoil is still lingering five decades after independence, but while the end is beyond the horizon lack of unity among the Isles’ people is an obvious […]
View ArticleMwanong’ona jambo gani?
Nasikia mwasemani, mungalijinong’onea Nasikia kwa yakini, njama mnonipangia Nasikia tambueni, kama mwataka nibwia Mwanong’ona kitu gani, na yote nayasikia? Mbona yaja sikioni, si kushoto la kulia...
View ArticleDk. Shein, bado unayo nafasi ya kuibadilisha hali
Serikali ya awamu ya kwanza ya Zanzibar chini ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kwa hakika iliakisi kuitwa serikali. Sikuwepo zama hizo, lakini kwa hadithi za waliokuwepo na manung’uniko...
View ArticleHaya madhambi yalijulikana, yakaendelezwa na mifumo mibovu
TANGU Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, aingie madarakani yapata miezi mitatu iliyopita, tumeshuhudia hekaheka nyingi zilizosababishwa na hatua alizochukua yeye...
View ArticleSiku Dk. Shein alipowaimbisha “Sisi Sote Tumegomboka!”
Kama kuna jambo linatuunganisha Wazanzibari licha ya tafauti zetu za kisiasa, ni hiyo hiyo siasa yenyewe. Tunatakhitalifiana kwenye kuyatafsiri mambo fulani fulani kwenye siasa na zaidi kwenye historia...
View ArticleDamu ya Habil yalia kutoka ardhini
Ninapoyaona yanayoendelea kutendwa na jeshi letu la polisi dhidi ya raia, natafakari sana, nikikumbuka mengi na kisha najiuliza faida ya yote haya ni nini? Madaraka tu? Matumizi ya nguvu, ubabe, […]
View ArticleUmeya Dar alama nyengine ya udhaifu wa Magufuli
Dk. John Pombe Magufuli amekuja na misamiati kazi miwili. Na yote kwa bahati imepata umaarufu kiasi cha kutosha. Makala hii si ya kupima ukubwa wa umaarufu wake zaidi inakusudia kutizama […]
View Article“Polisi waliniambia watanibaka mbele ya baba yangu mzazi”
Imepita kama miaka mitatu hivi lakini sitakaa nisahau. Siku hiyo nilikwenda kumfuata baba yangu kwenye mkutano wa CHADEMA eneo la Soweto, Arusha. Wakati huo, mimi sina hata kadi ya chama […]
View ArticleWafanyakazi Pemba watakiwa kukabidhi vitambulisho vya kura
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imewaagiza wafanyakazi wa umma wote kuwasilisha vitambulisho vyao vya kupigia kura na vile vya u-Zanzibari kwa mamlaka husika. Agizo hilo limetolewa na baadhi ya wakuu...
View ArticleTujihadhari na “watoto wa kambo” wa Hitler
WIKI iliyopita nilipata baruapepe kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa Burkina Faso ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa chanda na pete na Blaise Compaoré, Rais wa nchi hiyo aliyepinduliwa kwa […]
View ArticleMazrui aachiwa kwa dhamana
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui, ambaye alikuwa ameitwa na jeshi la polisi asubuhi ya leo (Machi 3), ameachiwa kwa dhamana baada ya […]
View ArticleMjuwe Eddy Riyami
MOHAMED Ahmed Sultan pengine linaweza kuwa jina geni kwa wengi na itakuwa vigumu kufahamika kwa haraka bila kutumia jina lililozoelekea na wengi hapa visiwani Zanzibar. Namzunguzia ‘Eddy Riyami, naam,...
View ArticleHatutageuza tena shavu la kushoto, tukipigwa la kulia – Maalim Seif
Sasa ni wazi kuwa vitendo vya kihalifu vinavyoaminika kufanywa na makundi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar maarufu kwa jina la “Mazombi” na ambao wanaonekana kupewa ulinzi […]
View ArticleMsekwa, Mwalimu Nyerere siye muanzilishi wa harakati za siasa Tanganyika
“Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuridhisha watu kwa nguvu ya hoja zake (power of persuasion). Uwezo huo ndio uliomsaidia kupata mafanikio makubwa katika malengo yake ya kisiasa. […]
View ArticleWill Zanzibar regain her past prosperity?
Two fascinating tomes that chronicle Oman’s historical links with Zanzibar and East Africa are among a host of titles that are piquing the interest of history-lovers at the Muscat International […]
View ArticleFor the sake of peace in the beloved Isles
The ZEC chairman nullified an orderly peaceful election as observed by officials from the US, European Union, Commonwealth, the East African Community and the Southern African Development Community...
View ArticleElectoral economy cannot be a light burden
Four months after holding the General Elections the Zanzibar Revolutionary Government plans to be deciding to hold a re-run for a cost to the tune of whopping 7.5bn Tanzania Shillings […]
View Article