Imepita kama miaka mitatu hivi lakini sitakaa nisahau. Siku hiyo nilikwenda kumfuata baba yangu kwenye mkutano wa CHADEMA eneo la Soweto, Arusha. Wakati huo, mimi sina hata kadi ya chama […]
↧