“Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuridhisha watu kwa nguvu ya hoja zake (power of persuasion). Uwezo huo ndio uliomsaidia kupata mafanikio makubwa katika malengo yake ya kisiasa. […]
↧