MOHAMED Ahmed Sultan pengine linaweza kuwa jina geni kwa wengi na itakuwa vigumu kufahamika kwa haraka bila kutumia jina lililozoelekea na wengi hapa visiwani Zanzibar. Namzunguzia ‘Eddy Riyami, naam, hapa […]
↧