Jeshi la polisi laipasua Zanzibar vipande vipande – CUF
Sisi CUF tunaamini pasipo na shaka yeyote kwamba matukio ya kuchomwa moto kwa masikani na matawi ya CCM huko Pemba ama baadhi ya nyumba za watu binafsi na mali za […]
View ArticleMsitupotoshe, Magufuli hajatumbua jipu la BoT
Sifa njema ya taasisi hupatikana kwa mambo mengi ambayo huchukuwa muda mrefu hadi kufahamika kwake kuwa ni miongoni mwa taasisi zenye sifa hiyo. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ni taasisi yenye hadhi sana,...
View ArticleDk. Shein, kioo kitakuambia wewe ni Ali tu
Jumatatu ya tarehe 21 Machi 2016, Dk. Ali Mohamed Shein ataamka mapema kisha atasimama mbele ya kioo chake kujiangalia. Ile taswira kwenye kioo itamuambia: “Wewe ni Ali tu!” Mwangwi wa […]
View Article“Kinachoendelea Z’bar ni mateso”
Kutokana na hali hiyo kuna kila aina ya uvunjaji wa haki za binadamu unaendelea Zazibar kwa kisingizio cha kudhibiti amani. Kumekuwa na vikundi viovu vikiwavamia wafuasi wa CUF na kuwapiga […]
View ArticleCUF yakataa kumeza matapishi
Mbali na kutoshiriki uchaguzi wa marudio unaosimamiwa na ZEC, pia CUF inawataka wanachama, wafuasi wake na wananchi wote kutoshiriki katika uchaguzi wa marudio katika Jimbo la Kijitoupele unaosimamiwa...
View ArticleHatumtambui Shein – CUF
Hatutambui hicho kinachoitwa matokeo ya uchaguzi wa marudio wa tarehe 20 Machi, 2016 na kwa maana hiyo hatumtambui huyo aliyedaiwa kuwa mshindi na kwa msingi huo huo hatutoitambua wala kushirikiana […]
View ArticleMiujiza ya busu la Jecha ilivyomgeuza chura kuwa Mwana Mfalme
Miongoni mwa ufahamu wa watu wa kawaida hapa Ulaya kuhusu nchi yangu ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya hadithini tu, ambayo ina mambo ya kushangaza na kufurahisha. Kuna hata hadithi […]
View ArticleWanadhulumu na wanataka washangiliwe
HUWAJE jamii inayolazimishwa iukubali uongo au ihalalishe haramu? Imenibidi nijiulize swali hilo na nilitafakari kutokana na ule uitwao “uchaguzi wa marudio” uliofanywa Zanzibar Jumapili iliyopita,...
View ArticleMgogoro wa Zanzibar kumuumbua Kikwete?
HATIMAYE, Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa “mshindi wa urais” Zanzibar. Aliapishwa Alhamisi iliyopita, anaandika Mwandishi Wetu. Urais wa Dk. Shein unatokana na kilichoitwa “uchaguzi wa marudio”...
View ArticleNdoto Ilipovunjika
Ilipovunjika, ndoto vipande vipande Ikaporomoka, chini kunako mabonde Ikachawanyika, ‘kawacha mavundevunde Lakini… Zilomakinika, nyoyo za wenye dhamira Zikakusanyika, kwa akili na busara Kisha...
View ArticleMsiwasaidie waovu kuyavunja Maridhiano ya Wazanzibari
Tarehe 5 Novemba 2009 daima itakumbukwa kuwa ni siku ambayo nchi yetu iliandika historia mpya pale viongozi wawili wazalendo na mashujaa, Dk. Amani Abeid Karume na Maalim Seif Sharif Hamad, […]
View ArticleLa MCC na unafiki wa wajiitao wazalendo
Wahafidhina mambo leo wamejipa peke yao haki ya kuwa wazalendo wa nchi yetu. Ufuasi wao kwa chama tawala (CCM) na serikali zake wanaufananisha na uzalendo wa kweli kwa Jamhuri ya […]
View ArticleZanzibar chini ya mtutu wa bunduki
SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa (SUK) katika Visiwa vya Zanzibar imefikia tamati, anaandika Yusuph Katimba. Uchambuzi wa kisheria unaonesha kuwa utawala wa sasa wa Zanzibar haufuati katiba, na kwamba hata...
View ArticleWa Machi 20 ni uchaguzi uliofeli
Katika mfumo wa kidemokrasia, uchaguzi ni utaratibu wa kupata viongozi wa kikatiba wa nchi husika kama yalivyo mahitaji ya katiba ya nchi hiyo. Na kama ilivyo dhana maarufu ya “mahitaji […]
View ArticleLa CCM, MCC na Mzee Kazihaiko
Je, unamkumbuka ile hadithi ya Mzee Kazihaiko inayosimulia mwisho wa ujanja na ubabe wa sungura? Hadithi yenyewe inasema hivi: Hapo zamani za kale kulikuwa na shida ya maji kwenye kijiji […]
View ArticleUzalendo unaoibuka kwa kufutiwa misaada ni unafiki
Laiti kama haya ya kufutwa kwa awamu ya pili ya msaada wa kimaendeleo wa shirika la misaada la Marekani (MCC) kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yangelitokea kwa Afrika Kusini wakati […]
View ArticleZanzibar: Twataka wizara ya ubabe na tashtiti
NILIONA ni vyema kwenda Zanzibar kuadhimisha sikukuu adhimu ya Pasaka. Matumaini yangu yalikuwa pia kupata wasaa wa kutathmini hali ya hewa baada ya Uchaguzi wa Marejeo uliofanyika tarehe 20 Machi […]
View ArticleLadha ya Ushindi Wangu
‘Mengia mashindanoni, japo sina mshindani Mikono i kiunoni, nahema ni taabani Nasema ni mzigoni, kumbe ni pweke mbioni Nimeita marafiki, waje wanishuhudie Nikapiga na mimiki, hadi Paje wasikie Sikujua...
View ArticleKambi ya Upinzani Bungeni yatangaza kutomtambua Dk. Shein
Kambi Rasmi ya Upinzani inasema kuwa Dk. Ali Muhammed Shein hana uhalali wa kushika nafasi hiyo kwa sababu matokeo ya Uchaguzi wa Marejeo yana kila dalili kuwa yalikuwa ni ya […]
View ArticleKuacha kuijadili MCC ni uhaini
Mjadala juu ya hatua ya Shirika la Misaada la Marekani la Changamoto ya Milenia (MCC) kuiondoa Tanzania katika orodha ya nchi zitakazonufaika na awamu ya pili ya misaada inayotolewa na […]
View Article