Jinsi Museveni alivyoshinda uchaguzi
Angalia hii vidio iliyowekwa mtandaoni hivi leo, mara tu baada ya Tume Huru ya Uchaguzi nchini Uganda kumtangaza Rais Yoweri Museveni mshindi wa mara nyengine wa uchaguzi mkuu katika taifa […]
View ArticleHaramu juu ya haramu
TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inasaka wateja wa kushiriki uchaguzi wa tarehe 20 Machi mwaka huu ili kukivusha Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Haramu huenda kwa haramu, ndivyo […]
View ArticleZanzibar na harakati za kisiasa
“Kabla ya Serikali ya Kiingereza kuiingiza Zanzibar chini ya Himaya yake, Zanzibar ilikuwa ni Dola kamili iliyokuwa ina shughuli zake (ikiamiliana) na ulimwengu wote. Mara tu Muingereza alipoitia...
View Article‘CUF haikuwa na sababu za kula kiapo cha kujitoa mahakamani’
Chama cha Wananchi (CUF) kinasema kinashangazwa na hatua ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kuwalazimisha waliokuwa wagombea wa uchaguzi mkuu halali wa tarehe 25 […]
View ArticleSiku Aman Thani alipotajwa hadharani kuwa mpigania uhuru wa Z’bar
”Aman Thani ni ukurasa katika kurasa tukufu za kitabu cha Zanzibar”. – Mohammed Ghassani Historia za Afrika zimegubikwa na historia rasmi. Historia ya uhuru wa Zanzibar haikusalimika. Historia ya...
View ArticleMagufuli katoa suluhisho Zanzibar
Kabla ya Jumamosi iliyopita, hata mimi nilikuwa mtumwa wa mawazo. Nilikubaliana na waliosema Rais John Pombe Magufuli anapaswa kuingilia uchaguzi wa Zanzibar kunusuru hali. Akizungumza na wazee wa Mkoa...
View ArticleKwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru sasa kiganjani pako
Je, una hamu ya kukisoma kitabu cha Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru lakini huna namna ya kukipata hapo ulipo? Kuna njia rahisi ya kukisoma kupitia simu yako ya mkononi, tablet au […]
View ArticleHatuwi muhuri wa kuwasafisha wabakaji wa demokrasia – ACT Wazalendo
Licha ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, kujitokeza tena akisisitiza kuwa hakuna chama wala mgombea hata mmoja aliyefuata masharti yanayotakiwa kuweza kujitoa...
View ArticleMkanganyiko CCM Z’bar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeingia tena katika mvutano na wanachama wake waliokabidhiwa vyeti vya ushindi wa uwakilishi na udiwani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, kwa kushikilia kuwa […]
View ArticleKutana na Eddy Riyami, bingwa wa ‘facts and figures’
Unahitaji kukutana na Eddy Riyami mara moja, siku moja na takriban mkazungumza kwa kiasi cha dakika tano na atabaki kichwani kwako. Hakuna sehemu utayaoingia katika historia na siasa za Zanzibar […]
View ArticleHivi CCM hasa munachokitaka ni kitu gani?
Mimi nashangazwa sana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, na Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kwani wamekuwa kama hawajuwi hasa kipi wanachokitaka na kama […]
View ArticleBora tuuite ‘upigaji kura mkuu wa marudio’
Kwenye taaluma ya lugha, tunaamini majina mengi (nomino) yanayotumika kuitwa vitu ni matokeo ya unasibu, yaani kubahatisha, kwa kuwa hakuna uwiano wa moja kwa moja baina ya nomino ‘kiti’, kwa […]
View ArticleSiku nilipokutana na mtu wa takwimu na tarakimu, Edi Riyami
Tarehe 22 Oktoba 2015 nilikutana na Edi Riyami katika ofisi zake za Vuga, ambako alikuwa sehemu ya timu ya mikakati ya Chama cha Wananchi (CUF) kuelekea uchaguzi wa Oktoba 25. […]
View ArticleLata na Ng’uza
‘Mengia Lata na N’guza, wakidai wao Mungu Nasi bila kuchunguza, tukavaa zao pingu Sasa wanatutatiza, kwa idhara na virungu Miujiza walisema, tutaiona haraka Wagonjwa wangesimama, na wafu wangefufuka...
View ArticleNi Mimi Nayo Maisha
Ama itaniinuwa, au itaniangusha Na ama itaniuwa, au itanihuisha Lolote litalokuwa, sitaiwacha maisha Ama itanichukuwa, na mbali kunifikisha Au itanipinduwa, na nyuma kunirudisha Lakini havitakuwa, nayo...
View ArticleCUF yataka Eddy Riyami aachiliwe haraka
Chama cha Wananchi (CUF) kina wasiwasi kuwa kukamatwa kwa Eddy Riyami kunatokana na shinikizo la kisiasa ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuwakamata viongozi kadhaa wa upinzani visiwani Zanzibar na […]
View Article‘Tangazo la Jecha haliifanyi haramu kuwa halali’
Chama cha Wananchi (CUF) kimekanusha vikali kauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kwamba chama hicho hakijawahi kujitoa kwenye uchaguzi wa marudio alioupanga...
View Article‘Lolote lisilotokea kwengineko, hutokea Z’bar’
Kwa jicho langu la kisanii natamani sana kadhia ya Uchaguzi wa Marejeo niitungie hadithi fupi. Naamini itakuwa tamu sana na hapana shaka mhusika wake mkuu atakuwa ni Mwenyekiti wa Tume […]
View ArticleJecha anapoendeleza sifa ya Zanzibar kuwa taifa la kuweka na kuvunja rikodi...
Je, unajuwa kuwa Ukristo uliingia kwanza Zanzibar kabla ya kusambaa kwenye maeneo yote ya ndani ya Afrika Mashariki na Kati? Hiyo ilikuwa mwaka 1448. Unakumbuka kuwa jengo la Baitul-Ajab la […]
View ArticleNdiyo Kikwete, ni wewe
Kwamba amiri jeshi mkuu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, anakanusha kuhusika na ‘uhuni’ wa tarehe 28 Oktoba 2015 visiwani Zanzibar, ambapo Mwenyekiti […]
View Article