Kimaumbile hatua za makuzi ya mwanadamu yamejengwa kwenye msingi w akutegemeana. Chimbuko lake huanzia mgongoni, tumboni na kisha duniani. Azaliwaye huitwa mwana, aliyembeba miezi tisa ndani ya tumbo lake huitwa […]
↧