Hatimaye lile jungu lililokuwa likipikwa kwa mawiki kadhaa dhidi yangu, limeiva na kupakuliwa. Alkhamisi ya tarehe 23 Juni 2016, Idara ya Habari Maelezo hapa kisiwani Pemba iliniita na kunipoka kitambulisho […]
↧