Ni hatari kuwachezea vijana wa zama hizi
Nimepata taarifa za yanayoendelea sasa kisiwani Pemba na yamenikumbusha mbali. Hapa nitasimulia kidogo. Kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza visiwani Zanzibar tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi...
View Article“Mazombi wa Z’bar ‘waipaisha’ Tanzania kimataifa”
Tunazo taarifa pia kwamba kuna njama za kuwakamata tena viongozi mashuhuri wa CUF na hasa Mhe. Mansoor Yussuf Himid na Mhe. Mohamed Ahmed Sultan (maarufu kwa jina la Eddy Riyami) […]
View ArticleBalozi Seif, hivi leo ndio wapata uthubutu wa kukemea ubaguzi?
Katika pitapita yangu mtandaoni jioni ya tarehe 22 Mei 2016 nimekuta taarifa ya idhari kwenye ukurasa wa Facebook wa ITV. Ni taarifa ya Balozi Seif Ali Idd akiwatahadharisha wafanyakazi wa serikali...
View ArticleHakuna wa kuizima nyota ya Maalim Seif
Majina matatu ya Idri Abdul-wakil Nombe, Seif Sharif Hamad na Salmin Amour Juma ndio yaliojadiliwa na Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM-NEC ili kuteua mmoja wapo kuwa rais mpya atakaemrithi […]
View ArticleMaalim Seif, mtu aliyekuwa na daima atakayekuwa
Picha inayosawiri makala hii niliipiga tarehe 24 Julai 2010, nje ya msikiti wa Ijtimai, Fuoni, magharibi ya kisiwa cha Unguja. Angalia huyo mtoto mkono wa kushoto ambaye anawania kumpa mkono […]
View ArticleDk. Shein, Dadi na Msangi, kwani Mungu si Mbora wa kuhukumu?
Ni Qur’an ndiyo inayouliza swali hilo katika sura yake ya 95, aya ya 7. Namna ilivyokuwa na miujiza, katika aya ya 4 ya sura hiyo hiyo, Qur’an inaelezea namna Mwenyezi […]
View ArticleKilichomtokea Dk. Shein mjini Moroni na fasili ya kisheria
Hivi majuzi, Dk. Ali Mohammed Shein alihudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais wa visiwa vya Comoro zilizofanyika mjini Moroni. Habari zinasema alikwenda huko kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View Article“Nataka kuwa kama Maalim Seif”
Sikumbuki mwezi wala tarehe, lakini mwaka ni 1985. Naukumbuka mwaka huo kwa kuwa nilikuwa darasa la tatu katika skuli yangu ya Pandani. Kinachonifanya niukumbuke mwaka ni hilo darasa lenyewe nililokuwa...
View ArticleKessy, ni wabunge wa Tanganyika wapaswao kutoka kuunda bunge lao
Natafakari tu, kuhusiana na hoja ya Mh. Ally Kessy kuwa Wabunge kutoka Zanzibar wasishiriki shughuli za Bunge pale yanapozungumzwa mambo yasiyo ya Muungano kama vile kilimo, utalii, afya n.k ; […]
View ArticleKMKM Pemba, hamuviwezi vita dhidi ya mwanamke mwenye haki
Kwa muda wa wiki kadhaa sasa eneo la Mtambwe limekuwa na shida ya usafiri kwa njia ya bahari. Eneo hili ni mashuhuri kwa shughuli zake za utumiaji wa vyombo vya […]
View ArticleWaislamu wa Zanzibar twapaswa kujiangalia ndani yetu
Wakati leo dunia ya Kiislamu ikiwa imegawika baina ya wale walio ndani ya funga ya Ramadhaan na wale ambao bado wanakula, hatuna budi kuliangalia suala hili kwa jicho la kifikra […]
View ArticleAbu Idd shughulika na Mnyamani yako, ya Zanzibar muwachie Maalim Seif
Siku kadhaa zilizopita, nimeona makala iliyoandikwa na sheikh maarufu wa Tanganyika, Bwana Mohammed Idd Mohammed, maarufu kama Abu Idd, ambayo ilichapishwa kwenye gazeti la Mwananchi kupitia safu yake...
View ArticleMtawala anapoamua kufunga banda na farasi keshatoka
Kuweza kuifanya makala hii ifahamike kirahisi kwako, ni bora niielezee kwa mtiriko wa hadithi, kuanza tukio la mwanzo kabisa hadi la mwisho kabisa. Wiki iliyopita nilipata simu kutoka kwa bwana […]
View ArticleU.S. Democracy Promotion in Africa: Why Zanzibar Matters
The U.S. government’s relationship with Tanzania took a hit this past year when national elections in October 2015 revealed a decidedly undemocratic streak in a country that U.S. officials had […]
View ArticleMwenye mizinga na mwenye umma, nani hasa mwenye nguvu?
Wiki hii imekuwa wiki ya Micheweni. Imesadifu kwamba watu wawili dhaifu kuitwa na kuhojiwa na mamlaka za dola kwa muda na maeneo tofauti. Ambapo siku ya Jumatano ya tarehe 8 […]
View ArticleVifaranga vya Zanzibar vyarudi nyumbani kupumzika
Septemba 16, 2001, siku tano tu baada ya shambulio la Septemba 11, 2001 kule Marekani, Mchungaji Jeremiah Wright, aliyewahi kuwa mchungaji wa raisi wa sasa wa Marekani, Barack Obama, alitoa […]
View ArticleNi hujuma au sanaa ya kujipiga mwenyewe ukalia?
Vuta picha kwamba uko usingizini ndani ya nyumba ambayo imeezekwa kwa makuti na tayari yana miaka kadhaa juu ya paa na, hivyo, yameshakauka na yameshaanza kupoteza uimara wake wa kuweza […]
View ArticleDemocracy deferred in Zanzibar
Thank you for the welcome and kind words. It is a pleasure to be back among old friends. The links between Zanzibar and the United States go back a long […]
View ArticleBunge lahitaji muafaka wa kitaifa
Licha ya Naibu Spika, Dkt. Tulia Akson, spika kuwatishia wabunge wa upinzani, ambao wamekuwa na kawaida ya kujisajili na baadaye kutoka kila siku ambayo bunge linaongozwa na yeye, inaonesha dhahiri […]
View ArticleJe, mlango wa Ouattarra utakuwa wa Maalim Seif?
Ni miezi imepita tangu kufanyika kwa kile kiitwacho “Uchaguzi Mkuu wa Marudio” wa Machi 20 baada ya ule wa awali wa Oktoba 25 “kufutwa” na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi […]
View Article