Sikumbuki mwezi wala tarehe, lakini mwaka ni 1985. Naukumbuka mwaka huo kwa kuwa nilikuwa darasa la tatu katika skuli yangu ya Pandani. Kinachonifanya niukumbuke mwaka ni hilo darasa lenyewe nililokuwa […]
↧