Nimepata taarifa za yanayoendelea sasa kisiwani Pemba na yamenikumbusha mbali. Hapa nitasimulia kidogo. Kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza visiwani Zanzibar tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi (mwaka 1995), mimi […]
↧