Katika pitapita yangu mtandaoni jioni ya tarehe 22 Mei 2016 nimekuta taarifa ya idhari kwenye ukurasa wa Facebook wa ITV. Ni taarifa ya Balozi Seif Ali Idd akiwatahadharisha wafanyakazi wa serikali kutothubutu kubagua wananchi […]
↧