Kofia tatu za Jaji Ramadhani zinazoweza kuivuusha Zanzibar
Ni zaidi ya mwezi wa tatu sasa tangu kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika 25 Oktoba mwaka jana, tukio ambalo limevitia visiwa vyetu kwenye mtihani na wasiwasi mkubwa kuwahi […]
View ArticleN’shishiyelo ni Lilo/This is What I Hold Fast
1 Nipulikiza ndu yangu, ninenayo usikiye Yaliyo moyoni mwangu, ningependa nikwambiye Ujuwe imani yangu, ambayo niishishiye Siiwati ingawaye, n’shishiyelo ni lilo 1 Listen to me, brother. These are...
View ArticleMamba/Crocodile
Nami nambe, niwe kama waambao Niupambe, upendeze wasomao Niufumbe, wafumbuwe wawezao I too have words; I’ll join those already speaking; I’ll gild my verse so it pleases those who’re reading; […]
View ArticleRethinking Hawaa: Gender in Abdilatif Abdalla’s Utenzi wa Maisha ya Adamu na...
This article by Meg Arenberg analyzes the representation of Hawaa (Eve) in Kenyan poet Abdilatif Abdalla’s epic poem Utenzi wa Maisha ya Adamu na Hawaa [Epic of the Life of […]
View ArticleKenya Twendapi?: Re-reading Abdilatif Abdalla’s pamphlet 50 years after...
Kai Kresse ABSTRACT The pamphlet Kenya: Twendapi? (Kenya: Where are we heading?) is a text often referred to but rarely read or analysed. Abdilatif Abdalla wrote it as a twenty-two-year-old political […]
View ArticleMamba – II
Manju nambe, ‘siwe kama walumbao Nigambe, nandike kwa wasomao Niperembe, wauimbe waimbao Huyu mamba, mjigambaji jeuri Anatamba, adhani ana dinari `Zondumba, zamhinika kideri Baghairi, mi namwita mchovu...
View ArticleKutana na kijana Jamal, kielelezo cha raia wanaodhulumiwa na dola kwa imani zao
Jaman Yassin mwenye umri wa miaka 38 ni mmoja tu kati ya raia kadhaa wanaojikuta wakiangukia mikononi mwa vyombo vya dola vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wakaingizwa kwenye […]
View ArticleWana macho hawaoni, wana masikio hawasikii
ALFAJIRI ya Ijumaa iliyopita, Rais John Pombe Magufuli aliamka na tabasamu ya aina yake. Palipopambazuka alikuwa amekwishatimiza siku zake 100 za mwanzo tangu ashike hatamu za uongozi wa taifa....
View Article‘Kikwete alikosea yote isipokuwa la Zanzibar’
Kama unafuatilia jinsi maamuzi na matendo ya siku kwa siku ya Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ‘yanavyoiumba’ Tanzania aitakayo kwa kuiumbua Tanzania aliyowachiwa na...
View ArticleZanzibar Never Dies
For Westerners, Zanzibar might be just another tourist destination for the seasonly holiday makers. For the diaspora, Zanzibar might be just a distant home whose feelings and memories they are […]
View ArticleZanzibar Never Dies
For Westerners, Zanzibar might be just another tourist destination for the seasonly holiday makers. For the diaspora, Zanzibar might be just a distant home whose feelings and memories they are […]
View ArticleJiunge na mradi wa kusaidia mayatima Zanzibar
In shaa Allah, we are in the process of starting the programme to support orphans and needy children through the provision of education, healthcare, food and clothing vital for their […]
View Article‘Mgogoro’ katika ushairi wa Kiswahili
Mgogoro” katika ushairi wa Kiswahili umekuwapo kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Una misingi yake katika utata wa mambo mawili: (i) Maana ya jumla ya shairi (ii) Maana ya shairi […]
View ArticleTanzu za ushairi wa Kiswahili
Shairi: Ni utungo wenye mishororo minne kila beti na vipande viwili vya mizani 8+8 kila kipande.
View ArticleHakuna mafungamano baina ya ugaidi na Uislamu
Kwa wale ambao hadi leo wana kasumba kwamba Uislamu una uhusiano wa moja kwa moja na ugaidi kwa kuwa tu wengi wanaohusishwa na mashambulizi ya kigaidi wana majina ya Kiislamu, […]
View ArticleTumekusikia Dk. Magufuli, lakini….
Mwishoni mwa wiki ilopita Rais wa Jamhuri ya Muungano alihutubia Wazee wa Dar es Salaam kuadhimisha siku 100 za sijui uongozi au utawala wake na kutoa matamshi juu ya hali […]
View ArticleYa Uganda kama ya Zanzibar – Dk. Mkumbo
Yanayoendelea Uganda na sehemu zingine katika bara letu, ikiwemo Zanzibar, yatukumbushe tena kwamba Waafrika tuliupokea utamaduni wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi kwa shinngo upande. Kuanzia...
View ArticleACT wawakamata ‘wachawi’ wao Zanzibar
Chama cha ACT Wazalendo kimewasimamisha uwanachama viongozi wake wawili wa ngazi za juu visiwani Zanzibar, akiwemo aliyekuwa mgombea wake wa urais wa Zanzibar katika uchaguzi wa Oktoba 25, kwa kile […]
View ArticleMazombi wanataka kuizuishia balaa Zanzibar
Katika siku za karibuni, Jeshi la Polisi Zanzibar mara kwa mara limekuwa likitoa tahadhari kwa wananchi kujiepusha na vitendo vinavyoweza kusababisha kuchafuka kwa amani visiwani. Taarifa ya karibuni...
View ArticleI participated in the elections to highlight Museveni’s military regime –...
We have just witnessed what must be the most fraudulent electoral process in Uganda. We participated in this process to highlight and show the world quite how fraudulent this military […]
View Article