Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Browsing all 854 articles
Browse latest View live

Mgombea urais DP ajiondoa Zanzibar

Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Democratic Party (DP), Abdalla Kombo Khamis, amejivua uanachama na kutangaza kutogombea nafasi hiyo baada ya viongozi wa chama hicho Zanzibar kusimamishwa uongozi...

View Article


Ujinga wa ubaguzi Z’bar lazima upigwe vita

KATIKA makala yangu ya mwisho nilieleza umuhimu wa suala la Zanzibar kushughulikiwa kwa weledi na umahiri mkubwa, na nikasema kwamba hili linamhusu moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano […]

View Article


Jeuri ya Z’bar kutaka kuanzisha benki kuu ilivyozimwa

RAIS Abeid Amani Karume wa Zanzibar, siku zote hakufurahia muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (baadaye ukaitwa Tanzania) ulivyokuwa, tangu ulipoanzishwa, Aprili 26, 1964 hadi kifo chake,...

View Article

Ukiacha unafiki, hakuna kinachovifanya vyama hivi kurejea uchaguzi

Mnamo tarehe 28 Oktoba 2015, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha, alitakiwa kuripoti katika ofisi zilizotengwa maalum kwa kutangazia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar...

View Article

Magufuli a transformative or a perfectionist of status quo?

General election of 2015 was one of the toughest in Tanzanian history. John Magufuli, a candidate of the ruling party won the election with the lowest proportionate of votes than […]

View Article


Ingekuwa si unafiki wenu, mungeweza kumkemea Nkurunziza

Wanawezaje kumkemea Pierre Nkurunziza wakati wao wenyewe nchi zao wanayafanya hayo hayo? Jiulize hivi kweli aliyekuwa Mwenyeki wa Umoja wa Afrika (AU), Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe angepata wapi...

View Article

Nigeria: Buhari, African Leaders and the Looming Conflict Over Zanzibar’s...

The determination by Tanzania’s ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM), to hold onto power in Zanzibar, no matter the cost, is approaching recklessness and threatens to open up a […]

View Article

Polisi wanatumiwa vibaya

Kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo Polisi wametumiwa vibaya na Serikali, taasisi na watu wengine. Hali hii imetufikisha mahali ambako ile kauli ya siku nyingi kwamba polisi ni usalama wa raia […]

View Article


Diplomasia ya Tanzania yaenda mrama

Tunapoizungumzia Tanzania na diplomasia, tutakubaliana kwamba  ilikuwa  kwa miaka mingi  ya ya utawala wa Mwalimu Julius Nyerere na nafasi yake katika siasa za kimataifa na  hasa panapohusika na...

View Article


Jecha utafuta uchaguzi mara ngapi?

Filed under: Uchambuzi wa Siasa Tagged: uchaguzi, Zanzibar, ZEC

View Article

Magufuli ameithibitisha hoja yetu

Inawezekana kuna sehemu ya Wazanzibari ambao wamevunjwa moyo sana na kauli ya Rais John Pombe Magufuli aliyoitoa leo juu ya dhima yake kwenye mkwamo uliosababishwa na ‘uhuni’ wa Chama chake […]

View Article

ZEC mutarejea uchaguzi mara ngapi?

Zimebaki siku 35 za uchaguzi wa marejeo wa Zanzibar kufuatia ule wa awali uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015 kutangazwa kufutwa matokeo yake na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar […]

View Article

Magufukrasia na siku 101 za ‘fyokofyoko’

“Nilipoapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, niliapa kuulinda Muungano wa nchi yetu. Hata bila kiapo, mimi ni muumini wa dhati wa Muungano wetu wa kipekee uliounganisha nchi […]

View Article


Vinane vyaifuata CUF kususia uchaguzi

VYAMA vinane vilivyoshirikiki uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba mwaka jana vimetangaza kuwa havitoshiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika tarehe 20 Machi mwaka huu, anaandika Faki Sosi. Wawakilishi...

View Article

CCM yazidi kutengwa Zanzibar

ORODHA ya vyama vinavyopingana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kurudia uchaguzi visiwani Zanzibar inazidi kuongezeka, anaandika Happyness Lidwino. Chama cha ACT-Wazalendo kimeingia kwenye orodha ya vyama...

View Article


Dk. Shein jinasue

Nasua au kujinasua ni ‘kutoa au ondoa mtegoni kitu kilichonaswa’. Imekuwa sasa kama kawaida kwa mizozo mizito ya kugombea ushindi, ambao hatimaye unapatikana kwa malalamiko mengi huko Zanzibar. Mwaka...

View Article

Ya Zanzibar; udikteta ni vitendo

John Pombe Magufuli amenza na mguu mzuri katika uongozi wake japokuwa watu wanaomtakia mema yeye binafsi na Taifa hili wataendelea kumueleza ukweli kwa kadri itakavyowezekana, mtu mwenye nia njema...

View Article


ADC watifuana uchaguzi Z’bar

MGOGORO wa kushiriki ama kutoshiriki uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar unatokota ndani ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), anaandika Happyness Lidwino. Taarifa zilizopatikana ndani...

View Article

Obituary: The weeping and whipping Pen of Ali Mohamed Nabwa (1936 -2007)

There was never a dull moment with Nabwa. When I first came into contact with him I knew him by one name only – Nabwa. I did not even know […]

View Article

Fedha za CCM zavuruga vyama Z’bar

FEDHA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinatumika kuvuruga mwelekeo na msimamo wa vyama vya upinzani visiwani Zanzibar, anaandika Regina Mkonde. Kazi hiyo inafanywa kwa ustadi mkubwa na maofisa wa CCM […]

View Article
Browsing all 854 articles
Browse latest View live