Yanayoendelea Uganda na sehemu zingine katika bara letu, ikiwemo Zanzibar, yatukumbushe tena kwamba Waafrika tuliupokea utamaduni wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi kwa shinngo upande. Kuanzia tunavyoendesha mambo ndani […]
↧