ALFAJIRI ya Ijumaa iliyopita, Rais John Pombe Magufuli aliamka na tabasamu ya aina yake. Palipopambazuka alikuwa amekwishatimiza siku zake 100 za mwanzo tangu ashike hatamu za uongozi wa taifa. Alipojiangalia […]
↧