Wazanzibari na Watanganyika wana malezi tafauti kuhusiana na sura ya Muungano. Ambapo Watanganyika wanauangalia huu kuwa ni Muungano wa Serikali Moja, Wazanzibari wanauangalia kuwa ni wa shirikisho la Serikali Tatu. […]
↧