‘Mengia mashindanoni, japo sina mshindani Mikono i kiunoni, nahema ni taabani Nasema ni mzigoni, kumbe ni pweke mbioni Nimeita marafiki, waje wanishuhudie Nikapiga na mimiki, hadi Paje wasikie Sikujua sisiki, […]
↧