Ilipovunjika, ndoto vipande vipande Ikaporomoka, chini kunako mabonde Ikachawanyika, ‘kawacha mavundevunde Lakini… Zilomakinika, nyoyo za wenye dhamira Zikakusanyika, kwa akili na busara Kisha ‘katamka, tamko lililo bora Lau.. Mungalikumbuka, lengo […]
↧