Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle inayorusha matangazo yake kutoka mjini Bonn, Ujerumani, imeanzisha ukurasa maalum kwa ajili ya uchaguzi wa Tanzania wa mwaka huu kwenye mtandao wake. Ukurasa huo uliopewa jina “Tanzania Yaamua 2015” unajikita kwenye kutoa habari, makala, mahojiano na matukio mbalimbali ya uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba. Idhaa ya Kiswahili ina wawakilishi wake katika sehemu mbalimbali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …
↧