India, Pakistan: Baina ya mashaka makongwe na matumaini mapya
Mahusiano kati ya Pakistan na India yamekuwa yakitandwa na shaka na tuhuma baina yao tangu mahasimu hao kupata uhuru kutoka Uingereza mwaka 1947. Sasa miaka takribani miaka 70 baadaye, kunaonekana […]
View ArticleZEC kamalizeni kujumuisha matokeo, mumtangaze mshindi – Maalim Seif
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, alisema katika vikao vya kuutafutia ufumbuzi mkwamo wa kisiasa Zanzibar vilivyokuwa vikifanyika Ikulu chini ya uenyekiti wa Dkt. Ali […]
View ArticleKwa kiasi gani Zanzibar ni muhanga wa historia?
Inasemwa kwamba mikwamo ya kisiasa na kisheria ambayo huikumba Zanzibar mara kwa mara ina mashiko yake kwenye historia ya visiwa hivi ya kabla ya 1964 na kwamba Wazanzibari wameshindwa kutoka […]
View ArticleMakamishna ZEC wapinga uchaguzi wa marudio
Wakati wadau kadhaa wa maswala ya kisiasa wakipinga kile kinachoendelea visiwani Zanzibar, makamishna wawili wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Nassor Khamis na Ayoub Bakar, wameibuika jijini Dar...
View ArticleMahiga ataka wahisani ‘wamlainishe’ Maalim Seif
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dk. Augustine Mahiga, amewataka washirika wa maendeleo wakishawishi Chama Cha Wananchi (CUF) kishiriki uchaguzi wa...
View ArticleAPPT-Maendeleo yasusia uchaguzi Zanzibar
Chama cha APPT Maendeleo, kimetangaza rasimi kwamba hakitashiriki Uchaguzi Mkuu wa marudio kutokana na kupoteza imani na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), baada ya kufuta kibabe matokeo ya uchaguzi wa […]
View ArticleUchaguzi halali ulishafanyika 25 Oktoba – Makamishna ZEC
Maelezo yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi juu ya kufuta Uchaguzi wa tarehe 25 Octoba 2015, hayajaweza kumshawishi hata mtu wa kawaida kuamini kuwa kulikuwa na sababu za msingi […]
View ArticleKikwete azungumza asichokiamini akitutaka tumuamini
Nimekua nikitafakari matamshi ya hivi juzi tu na hotuba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jakaya Khalfani Mrisho Kikwete mkoani Singida alipokuwa akizungumza kwa kiburi na kusema uchaguzi wa […]
View ArticleMaalim Seif ajivua lawama Z’bar
Sasa ni dhahiri. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, ametabiri hatari ya mgawanyiko unaoweza kuikumba Zanzibar, lakini asingependa alaumiwe kwa uamuzi...
View ArticleMagufuli: Suluhu pekee ya Zanzibar ni kurudia uchaguzi
Rais John Magufuli amerejelea msimamo wa Chama chake cha Mapinduzi (CCM) kuwa lazima uchaguzi urejewe visiwani Zanzibar, kwani ndiyo “suluhu ya pekee” kwa mkwamo uliopo. Ameyaeleza hayo katika hotuba...
View ArticleMagufuli arithi usanii wa JK
Rais John Pombe Magufuli sasa amejidhihirisha rasmi kuwa mrithi wa mtangulizi wake, Jakaya Mrisho Kikwete. Anawaambia mabalozi wa kigeni eti “Watanzania walio wengi wanataka CUF ithibishe kuwa...
View ArticleTuakhirishe uchaguzi kuzipa nafasi taasisi za upatanishi
Sote tunaelewa kwamba visiwa vyetu vya Zanzibar vimeingia katika mgogoro wa uchaguzi na kikatiba, mgogoro ambao chanzo chake ni baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salum Jecha […]
View ArticleLubuva huna tume huru
Hivi karibuni tumemsikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Lubuva akieleza kuwa uhuru wa Tume unapimwa kwa jinsi Tume husika inavyoendesha uchaguzi bila kuingiliwa, na kwamba Tume yake […]
View ArticleJecha hajiwezi kwa CCM
UFUATILIAJI wangu uliosaidiwa na watoa taarifa serikalini na kwengineko, unanipa jeuri ya kuamini kuwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanamdhibiti Jecha Salim Jecha anayeendelea kuitwa...
View ArticleTalks on Z’bar should be unconditional
We are encouraged by President John Magufuli’s remarks that the doors for talks on the Zanzibar political impasse are still open. We are encouraged because for a long time the […]
View ArticleMateka wa Boko Haram anapompenda mtekaji wake
Licha ya ukweli kwamba kundi la Boko Haram linafanya mauaji na mashambulizi dhidi ya raia wasio hatia, ikiwemo kuwateka wasichana kwenye maeneo wanayoyavamia nchini Nigeria, Cameroon na Chad, kuna...
View ArticleZEC isiwalazimishe wasiotaka kushiriki uchaguzi
Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa marudio umepangwa kufanyika Machi 20 mwaka huu kuwania nafasi ya urais wa visiwa hivyo, wajumbe wa Baraza la Wakilishi (BLW) na udiwani. Uchaguzi huu umekuja baada […]
View ArticleUAE names first minister of state for happiness
Ohood Al Roumi has remit to push national agenda to make the UAE the happiest of all nations, prime minister announces. A woman will lead the United Arab Emirates’ attempt […]
View ArticleBaada ya mkonga, sasa ‘e-Health’ kuangamiza mabilioni mengine ya Wazanzibari
Zanzibar ipo hatarini kupoteza mabilioni ya fedha kufuatia hatua ya baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kutaka kusaini mkataba na Kampuni ya Kichina ya ZTE juu ya […]
View ArticleUmoja wa Ulaya wamgomea Magufuli
Umoja wa Ulaya (EU), umemgomea Rais Dk. John Magufuli, kwa kueleza kuwa msimamo wake ni uliotolewa na washirika wa jumuiya ya kimataifa wa kumtaka kushirikiana na vyama vilivyoshiriki uchaguzi mkuu […]
View Article