Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Sasa CCM Z’bar haiwaamini Wabara

$
0
0
ZIMESALIA siku 11 kuanzia leo (Oktoba 14) hadi Oktoba 25, siku ya siku, Watanzania watapopiga kura kwa mara ya tano tangu urejelewe mfumo wa vyama vingi vya siasa 1992 na uchaguzi wa mwanzo uliofanywa chini ya mfumo huo 1995. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ni wenye kusisimua zaidi ya chaguzi zote nne zilizopita. Katika medani ya siasa siku 11 ni siku nyingi mno. Mengi yanaweza …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles