Wiki mbili zilizopita nilikuwa Arusha kwa miezi takriban miwili nikifanya yangu. Moja katika siku zilizokuwepo huko, nilibahatika kukutana na kuzungumza na mtembeza watalii katika Mlima Kilimanjaro, niliyemuhoji mambo mengi nikitaka kujua hili na lile kuhusu kazi yake hiyo. Katika maelezo yake, alinieleza kuwa suali maarufu ambalo amekuwa akikumbana nalo kutoka kwa watalii hao ni: “Kwanini nchi yenu ni masikini wakati zipo rasilimali nyingi?”na daima jibu …
↧