NITAANZA makala yangu ya wiki hii kwa kurejea swali nililoliuliza mwishoni mwa ile ya wiki iliyopita:Je, nakisi ya usafi na kithiri ya ufisadi ni kutokana na nafsi au nafasi? Mtu aliye “msafi” akijikuta katika nafasi inayompa fursa za kuwa fisadi na nafsi yake isimsute, atabaki kuwa msafi au atageuka na kuwa fisadi? Na je, mtu mwenye nafsi ya ufisadi akijikuta katika nafasi isiyomwachia mwanya wa …
↧