Kuitwa tena kwa Edward Lowassa katika Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, kauli za Benjamin Mkapa juu ya uwajibikaji na haki na dhamira ya serikali ya Rais John Magufuli kujenga bwawa la umeme katika mbuga za Selous ndizo mada kuu leo.
Filed under: MAGAZETINI LEO
