Ikiwa zimebakia wiki tatu kufanyika uchaguzi mkuu nchini Tanzania, wasiwasi unaongezeka kuelekea kile kinachoangaliwa kama uchaguzi wenye ushindani mkali zaidi kwenye historia ya nchi hiyo, huku kwa mara ya kwanza chama tawala, CCM, kikikabiliwa na uwezekano wa kushindwa kwenye uchaguzi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Mgombea wake wa urais wa Jamhuri ya Muungano, John Magufuli, amejikuta na kibarua kigumu sana katika …
↧