JE, tuziamini tafiti zenye kutegemea takwimu kutabiri nani atashinda, na kwa kiwango gani, katika uchaguzi? Taasisi zenye kutabiri mambo ya uchaguzi zinajinata kwamba utabiri wao ni tofauti na ule wa wapiga ramli kwa sababu wao ni wa “kisayansi” na, kwa hivyo, ni wa kuaminika. Wanalitumia neno “kisayansi” kama neno la kichawi la kutufanyia kiini macho tuamini wanayotuambia. Hivi majuzi taasisi mbili zisizo za kiserikali, Ipso …
↧