“Tutatafuta kujua ni kwa nini tumeshindwa. Hata hivyo, tunakubali matokeo bila masharti yoyote. Bado hatujajua matokeo kamili ya mwisho yatakuwaje”, kaimu mwenyekiti wa chama tawala kinachoungwa mkono na jeshi cha Myanmar (zamani Burma), Union Solidarity Development Party (USDP), aliliambia Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), siku moja tu baada ya kura kupigwa. Si mara ya kwanza kwa chama cha upinzani cha National League for Democrasy …
↧