Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Deutsche Welle haikusanyi maoni uchaguzi wa Tanzania

$
0
0
Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle inayorusha matangazo yake kutokea Bonn, Ujerumani, imekanusha vikali taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini Tanzania kwamba imekuwa ikifanya utafiti wa maoni ya wananchi juu ya nani anayeongoza kuelekea uchaguzi mkuu unaofanyika tarehe 25 Oktoba. Katika ujumbe wake chini ya kichwa cha habari “Tangazo Muhimu” iliyoutuma kupitia ukurasa wa Facebook hivi leo, Idhaa hiyo imesema imegundua “kuna ujumbe …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles